Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha ADC Mhe. Hamad Rashid akizungumza na Mawakala wa Chama hicho wakati wa ufunguzi wa mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi hall la Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi Unguja leo 15-10-2025 na kuzungumzia Sera za Chama chake kikipata ridhiaa ya kuchaguliwa katika Uchaguzi Mkuu 2025.
FCC Itaendelea Kusimamia Haki za Walaji katika Mikataba ya Upande Mmoja
-
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam, Machi 10, 2026. Tume ya Ushindani (FCC) imesema itaendelea
kusimamia kwa karibu haki za walaji kwa taasisi na kampuni zi...
6 minutes ago












0 Comments