Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt.
Emmanuel Nchimbi, akiwasili katika Jengo la Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo kushiriki Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi
za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), uliyofanyika
Jijini Kinshasa leo tarehe 15 Novemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt.
Emmanuel Nchimbi, akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mhe.Felix Tshisekedi wakati alipowasili katika Jengo la Bunge la Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo kushiriki Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa
Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), uliyofanyika Jijini Kinshasa leo tarehe 15 Novemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt.
Emmanuel Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa
Jumuiya ya Nchi za Maziwa Makuu kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa
Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), uliyofanyika katika Jengo la Bunge la Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo, Jijini Kinshasa leo tarehe 15 Novemba 2025..jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt.
Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa
Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), uliyofanyika katika Jengo la Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo, Jijini Kinshasa leo tarehe 15 Novemba 2025.

0 Comments