6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Kikapu Ligi Kanda ya Unguja Kati ya African Magic na Kwerekwe Yankees Timu ya African Magic Imeshinda Mchezo huo kwa Vikapu 75-49

Mchezaji wa Timu ya African Magic Y. Abdi  akiwa na mpira akijiandaa kumpita mchezaji wa Timu ya Kwerekwe Yankees A.Adil, wakati wa mchezo wao wa Kikapu  Ligi Kanda ya Unguja mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya African Magic imeshinda mchezo huo kwa Vikapi 75-49.
















 

Post a Comment

0 Comments