6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026 Kati ya Chipukizi na Mlandege Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Chipukizi Imeshinda Mchezo huo kwa Bao.2-0

Mchezaji wa Timu ya Mlandege akimiliki mpira huku  mchezaji wa Timu ya Chipukizi akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026, mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong, Timu ya Chipikizi imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0. 






 

Post a Comment

0 Comments