MCHEZAJI
wa Timu ya Stone Town Said Masoud akimiliki mpira huku mchezaji wa Timu ya
Polisi Ali (kushoto) akijiandaa kumzuiya, wakati wa mchezo wa mpira wa Kikapu
Ligi Kanda ya Unguja uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini
Zanzibar.Timu ya Stone Town imeshinda mchezo huo kwa vikapu 70-53.
MCHEZAJI
wa Timu ya Stone Town Shaweji akiwa na mpira akijianda kumpita mchezaji wa Timu
ya Polisi Elisha, wakati wa mchezo wa Kikapu Ligi Kanda ya Unguja uliyofanyika
katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar. Timu ya Stone Town imeshinda mchezo
huo kwa vikapu 70-53
MCHEZAJI
wa Timu ya Stone Town Suleiman akiwa na mpira akijiandaa kumpita mchezaji wa
Timu ya Polisi Abubakar, katika mchezo wa Kikapu Ligi Kanda ya Unguja
uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar. Timu ya Stone Town
imeshinda mchezo huo kwa Vikapu 70-53
MCHEZAJI
wa Timu ya Polisi Abubakar akijiandaa kumpita mchezaji wa Timu ya Stone Town
Suleiman, wakati wa mchezo wao wa Kikapu Ligi Kanda ya Unguja uliyofanyika
katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu ya Stone Town imeshinda mchezo
huo kwa Vikapu 70-53.




0 Comments