Mchezaji wa Timu ya Miembeni Seif Mohammed akiifungua timu yake katika mchezo wa Ligi Kanda ya Unguja mchezo wa Kikapu uliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Miembeni imeshinda mchezo huo kwa kuifunga Timu yac Uhamiaji kwa Vikapu 70-29.
WMA YATOA ELIMU YA VIPIMO KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA DKT. SAMIA DODOMA
-
Na Mwandishi Wetu Wetu - DODOMA
Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) imetoa mafunzo ya vipimo kwa wanafunzi wa
Dr. Samia Dodoma Secondary School, ikiwa ni s...
2 minutes ago











0 Comments