Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Ali akisisitiza jambo wakati akijibu Maswali ya Waandishi wa Habari katika Mkutano na Waandishi hao kuhusiana na kuzuka baadhi ya watu kujimilikisha Maeneo ya Ardhi Kuuza na Kununua bila kufuata Utaratibu wa Kisheria hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo Maisara Zanzibar.
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Maakazi Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Ali akitoa Taarifa kwa Wananchi Kupitia Vyombo vya Habari kuhusiana na kuzuka kwa baadhi ya watu kujimilikisha Maeneo ya Ardhi Kuuza na Kununua bila kufuata Utaratibu wa Kisheria hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo Maisara Zanzibar.
Katibu Mtendaji akifafanua jambo wakati akijibu baadhi ya Maswali ya Waandishi wa Habari katika Mkutano kuhusiana na kuzuka baadhi ya watu kujimilikisha Maeneo ya Ardhi Kuuza na Kununua bila kufuata Utaratibu wa Kisheria hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Maisara Zanzibar.
Mwandishi wa Hbari wa ITV Farouk Karym akiuliza maswali katika Mkutano na Wairi wa Adhi na Maendeleo ya Makaazi Rahma Kassim Ali akizungumzia kuhusiana na kuzuka baadhi ya watu kujimilikisha Maeneo ya Ardhi Kuuza na Kununua bila kufuata Utaratibu wa Kisheria hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Maisara Zanzibar.
Mwandishi wa Hbari wa ISLE BLOG TV Ali Seif Kombo akiuliza maswali katika Mkutano na Wairi wa Adhi na Maendeleo ya Makaazi Rahma Kassim Ali akizungumzia kuhusiana na kuzuka baadhi ya watu kujimilikisha Maeneo ya Ardhi Kuuza na Kununua bila kufuata Utaratibu wa Kisheria hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Maisara Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Rahma Kassim Ali akitoa Taarifa kwa Wananchi kuhusiana na kuzuka baadhi ya watu kujimilikisha Maeneo ya Ardhi Kuuza na Kununua bila kufuata Utaratibu wa Kisheria hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Maisara Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.10/12/2025I
0 Comments