6/recent/ticker-posts

Timu ya Uhamiaji Imeibuka na Ushindi wa 5G Dhidi ya Timu ya New City Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong

Beki wa Timu ya Uhamiaji akijaribu kumzuiya mchezaji wa Timu ya New City wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026, mchezo uliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Uhamiaji imeshinda mchezo huo kwa bao 5-0 






 

Post a Comment

0 Comments