6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Mpira wa Kikapu Ligi Kanda ya Unguja Kati ya Miembeni na Dream Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Miembeni Imeshinda Kwa Vikapu 53-51

Mchezaji wa Timu ya Dream akiwa mpira akijiandaa kumpita  mchezaji wa Timu ya Miembeni, wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Kikapu Kanda ya Unguja, mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Miembeni imeshinda mchezo huo kwa Vikapu 53-51. 






 

Post a Comment

0 Comments