6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025-2026 Dhidi ya New King na Muembemakumbi City, Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Muembemakumbi City Imeshinda Mchezo Huo kwa Bao 3-1

Mchezaji wa Timu ya New King akimpita mchezaji wa Timu ya Muembemakumbi City wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ 2025-2026, mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Muembemakumbi City imeshinda bao 3-1. 




Post a Comment

0 Comments