6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu PBZ 2025-2026 Kati ya Polisi na Uhamiaji Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Uhamiaji Imeshinda Bao 1-0

Mchezaji wa Timu ya Uhamiaji akimpeta mchezaji wa Timu ya Polisi, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026, mchezo uliyofanyika katika Uwanja Mao Zedong.Timu ya Uhamiaji imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.





Post a Comment

0 Comments