Kocha wa Timu ya AS OHOTO Sekou Seck akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na maandalizi ya mchezo wake na Timu ya Singida BS, michuano ya Kombe la Caf Confederation Cup 2025-2026, mchezo utakaofanyika kesho katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar leo 24-1-2026.
Mchezaji wa Timu ya AS OHOTO Elenga Gosim akizungumzia maandalizi ya mchezo wao na Timu ya Singida BS, Michuano ya Kombe la Caf Confederation Cup 2025-2026, wakiwa tayari kukabiliana na mchezo huo utakaofanyika kesho katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.
Kocha wa Timu ya Singida BS Othman akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na maandalizi ya mchezo wake na Timu ya AS OHOTO , michuano ya Kombe la Caf Confederation Cup 2025-2026, mchezo utakaofanyika kesho katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar leo 24-1-2026.
Mchezaji wa Timu ya Singida BS Metach Mnata akizungumzia maandalizi ya mchezo wao na Timu ya AS OHOTO Michuano ya Kombe la Caf Confederation Cup 2025-2026, wakiwa tayari kukabiliana na mchezo huo utakaofanyika kesho katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.










0 Comments