Mwili wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) na Benki ya Watu wa Zanzibar, Joseph Abdallah Meza, umewasili leo visiwani Zanzibar kwa ajili ya mazishi.
Ndg. Joseph Abdallah Meza alifariki dunia juzi, Januari 28, 2026.


0 Comments