Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga Pedro Goncalves akizungumza na Waandishi wa habari za Michezo kuhusiana na maandalizi ya mchezo wao wa marudiano utakaofanyika kesho 31-1-2026 katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, katika mchezo wa awali uliyofanyika Nchini Misri Timu ya Al Ahly imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga wakati wa mkutano wake kuelezea maandalizi ya mchezo wao wa marudiano ya Kombe la Mabingwa Afrika, mchezo utakaofanyika kesho 31-1-2026 katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya Yanga Dickson Job akizungumza na waandishi wa habari za michezo kuhusiana na maandalizi ya mchezo wao na Timu ya Al Ahly ya Misri utakaofanyika kesho 31-1-2026 katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya Al Ahly Mohamed El-Shenawy, akizungumza na waandishi wa habari za michezo kuhusiana na maandalizi ya mchezo wao na Timu ya Yanga utakaofanyika kesho 31-1-2026 katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.





0 Comments