Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Makame Machano Haji akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo kwa Watendaji na Wadau Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo kuhusiana na Dawa za Kulevya hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Mkufunzi kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Ali Yussuf Ali akitoa mafunzo kwa Watendaji na Wadau Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo kuhusiana na Dawa za Kulevya hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
.
Baadhi ya Watendaji na Wadau wa Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo waliohudhuria katika Mafunzo kwa Watendaji na Wadau Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo kuhusiana na Dawa za Kulevya hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Sanaa na Utamaduni na Michezo Rashid Hamdu Makame akizungumza katika Mafunzo kwa Watendaji na Wadau Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo kuhusiana na Dawa za Kulevya hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Kamishna Utawala Raslimali watu na Mipango Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar Khamis Vuai Rajab akitoa hotuba ya makaribisho katika Mafunzo kwa Watendaji na Wadau Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo kuhusiana na Dawa za Kulevya hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Watendaji na Wadau wa Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo waliohudhuria katika Mafunzo kwa Watendaji na Wadau Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo kuhusiana na Dawa za Kulevya hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.29/01/2026
0 Comments