6/recent/ticker-posts

Rais Dkt. Samia azindua Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan akionesha Kitabu cha Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili mara baada ya uzinduzi katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026.


Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili. Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili. Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026.

09:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kisutu na Shule ya Msingi Changanyikeni mara baada ya kuzindua Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akionesha Tuzo aliyokabidhiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Januari, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mwalimu Mhakiki wa Maandishi ya Breli na Michoro ya Mguso kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania Bi. Hadija Salum wakati akitoa maelezo kuhusu matumizi ya michoro ya mguso katika ufundishaji wa watoto wa Elimu ya Awali, Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili, mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Changanyikeni wakiimba wakati wa hafla ya uzinduzi Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili. Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026.

 

Post a Comment

0 Comments