Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mmiliki wa
Hoteli ya Jaz Elite Aurora, Bw. Hamed El Chiaty kuashiria uzinduzi wa Hoteli hiyo
katika hafla iliyofanyika Michamvi,
Mkoa wa Kusini, Unguja, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa
Hoteli ya Jaz Elite Aurora katika hafla iliyofanyika Michamvi, Mkoa wa Kusini, Unguja, Zanzibar
Taswira ya Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini, Unguja, Zanzibar ambayo imezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
0 Comments