6/recent/ticker-posts

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Alimefungua Soko la Mboga Mombasa Jijini Zanzibar.Ikiwa Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Muonekano wa Jengo jipya la Soko la Mboga Mombasa Wilaya ya Magharibi "B" Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matikufu ya Zanzibar, ufunguzi huo uliyofanyika leo 4-1-2026.













 










Post a Comment

0 Comments