6/recent/ticker-posts

Zoezi la Uhakiki Kwa Wastaafu Wanaolipwa Pensheni Kupitia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF)

Maafisa wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) wakiwa katika zoezi la kuwahakiki Wastaafu wanaolipwa Pensheni kupitia (ZSSF) zoezi hilo la uhakiki lililoaza leo 2 hadi 7, Januari 2026, linalofanyika katika Kiwanja cha Watoto Kariakoo Wilaya ya Mjini Unguja, kwa Wastaafu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

 

Afisa Mafao wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Mussa Yussuf akizungumza na Waandishi wa habari, wakati wa zoezi la Uhakiki kwa Wastaafu wanaopokea Pensheni kupitia (ZSSF) zoezi hilo linalofanyika katika Kiwanja cha Watoto Kariakoo Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja lililoaza leo 2 hadi 7,Januari 2026.








Post a Comment

0 Comments