6/recent/ticker-posts

Ufunguzi wa Nyumba za Wafanyakazi Hospitali ya Pangatupu Mkoa wa Kaskazini Unguja

Waziri wa Vijana Ajira na Uwezeshaji Mhe.Shaaban Ali Othman akikata utepe kwa kwa niaba ya Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume, kufungua Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Pangatupu Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja,ikiwa ni Shamra shamra za miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Vijana Ajira na Uwezeshaji Shaaban Ali Othman kwa niaba ya Rais Mstaafu Amani Abeid Karume (kulia)akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Pangatupu Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja..Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt,Mgereza Mzee Miraji akitoa taarifa ya Kitaalamu katika hafla ya Ufunguzi wa Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Pangatupu Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Vijana Ajira na Uwezeshaji Shaaban Ali Othman  akitoa Hotuba katika hafla ya Ufunguzi wa Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Pangatupu Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Pangatupu Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI,AMELEZO ZANZIBAR.02/01/2026



 

Post a Comment

0 Comments