6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Mwingulu Nchemba Akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda

Muonekano wa hatua  iliyofikiwa ya ujenzi wa Bwawa   la Maji la Kidunda mkoani Morogoro ambalo Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alikagua ujenzi wake, Januari 2, 2026.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira Dar es salaam,  (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire (kulia) alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Maji la Kidunda mkoani Morogoro, Januari 2, 2026. Wa tano kulia  ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima. 
 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira Dar es salaam,  (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire (kulia) alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Maji la Kidunda  mkoani Morogoro, Januari 2, 2026. Wa tatu kulia ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira Dar es salaam,  (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire (kulia) alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Maji la Kindunda  mkoani Morogoro, Januari 2, 2026. Kulia kwake  ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso.

 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Post a Comment

0 Comments