Muonekano wa Jengo Jipya la Tawi la Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Waziri wa Vijana,Ajira na Uwezeshaji Zanzibar Mhe.Shaban Ali Othman, kuadhimisha Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. ufunguzi huo uliyoyofanyika 5-1-2026.
NO.6140///WAZIRI
wa Vijana,Ajira na Uwezeshaji Zanzibar Mhe. Shaban Ali Othman akiondoa pazia
kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Jengo la Tawi la Benki ya Watu wa Zanzibar
(PBZ) Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, (kushoto) Katibu Mkuu Wizara ya Nchi
Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar
Dkt.Rahma Salim Mahfoudh na Viongozi mbalimbali ,ikiwa ni Shamrashamra
za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi wa Zanzibar na .(Picha na Othman
Maulid)


















0 Comments