Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Meli ya Kilimanjaro 1X katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro IX (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Muonekano wa Boti ya Kilimanjaro IX (TISA) iliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK,Hussein Ali Mwinyi katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Viongozi mbalimbali akielekea katika Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro IX (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akipatiwa Maelezo na Mkurugenzi wa Makampuni ya Azam Marine Salim Azizi katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro IX (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro IX (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Kitabu Maalum chenye Matukio ya Uwekezaji na Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Sharif Ali Shari katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro IX (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akitoa Hotuba ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro IX (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro IX (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Sharif Ali Sharif akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro IX (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar..JPG)
Mkurugenzi Mtendaji ZIPA Saleh Salim Mohamed akitoa maelezo ya Kitaalamu katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro IX (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Azam Marine Abubakar Aziz Salim akitoa maelezo ya Mradi katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro iX (TISA) uliofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai.Maelezo Zanzibar .20/01/2026.
0 Comments