6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu Mhe.Dkt.Mwingulu Nchemba Amekutana na Viongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania

 

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dkt. Maimbo Mndolwa (wa pili kulia) na ujumbe wake katika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 19, 2026. (Wengine kutoka Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Profesa Palamagamba Kabudi.

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Profesa Palamagamba Kabudi (wa tatu kulia) pamoja na ongozi wa Juu wa Kanisa la Anglikana Tanzania baada ya

mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 19, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Canon Dkt. George Otieno Lawi, Katibu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania, Askofu Dr Dickson Chilongani, Chancellor wa St John's University of Tanzania na Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika, Dodoma, Prof Chasmir Rubagumya Deputy Vice Chancellor Planning, Finance and Administration  St John's University of Tanzania.

 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Post a Comment

0 Comments