6/recent/ticker-posts

Uzinduzi wa Mfumo wa Usajili wa Diaspora Zanzibar



WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum  akizindua Mfumo wa Usajili wa Diaspora Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Ndg. Saleh Juma Mussa  na (kushoto kwake) Mkurugenzi  Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibar Wanaoishi Nje ya Nchi. Dkt.Haji Gora Haji.(Picha na Othman Maulid)


 

Post a Comment

0 Comments