6/recent/ticker-posts

Uzinduzi wa Ukarabati wa Jengo la Wajasiriamali la Caravan Serai Kiponda Shamrashhamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe.Anna Athanas Paul akiwasili katika eneo la hafla ya ufunguzi wa Jengo la Wajasiriamali la Caravan Serai Kiponda Wilaya ya Mjini Unguja, akiongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt.Aboud Suleiman Jumbe, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.     
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe.Anna Athanas Paul akiondoa pazia na Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt.Aboud Suleiman Jumbe kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengo la Wajasiriamali la Caravan Serai Kiponda Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe.Anna Athanas Paul akikata utepe klifunguzi wa Jengo la Wajasiriamali la Caravan Serai Kiponda Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar


















 

Post a Comment

0 Comments