6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU AKUTANA NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari 20, 2026.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari 20, 2026.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments