6/recent/ticker-posts

Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC, Zanzibar


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC , kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar leo tarehe 19 Februari 2026.



 

Post a Comment

0 Comments