Mratibu wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Prof. Salum Seif Salum (aliyekaa upande wa kushoto) akifuatilia kwa umakini Mafunzo ya Maandalizi ya Ufungaji wa Mradi huo kutoka kwa Muezeshaji Mtaalamu wa Suala ya Jamii katika Ukumbi wa Council Member, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
-
OWM-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari ...
16 hours ago


0 Comments