Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi
mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini
Dar es Salaam tarehe 12 Februari, 2026 kabla ya kuondoka nchini kuelekea Addis
Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa
Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Februari, 2026, kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)

.jpeg)

0 Comments