Kaimu Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar ambae ni Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, mafanikio ya Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanja Zanzibar ndani ya Siku Mia Moja za Uongozi wa Dk.Mwinyi Kipindi cha Pili cha Uongozi wake Awamu ya Nane, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Rahaleo Zanzibar leo 3-3-2026.
Elimu : Mkenda Azindua Bodi Mpya ya TCU, Asisitiza Uimarishaji wa Usimamizi
na Uthibiti Ubora wa Elimu ya Juu
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameielekeza
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuendelea kusim...
10 hours ago







0 Comments