6/recent/ticker-posts

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afuturisha Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Iftar aliyowaandalia Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Machi, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa mara baada ya Iftar aliyowaandalia, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026.











Post a Comment

0 Comments