Habari za Punde

SOS WAADHIMISHA

WATOTO WA KIJIJI CHA SOS WAKIWA KATIKA KIKAO CHA BAJETI IKIWA NI KUTUWA BURUDANI KWA WAGENI WAALIKWA KATIKA SHEREHE ZA KUTIMIA MIAKA 18 KWA KUANZISHWA SOS ZANZIBAR NA MIAKA 60 YA KUANZISHWA KWA VIJIJI VYA WATOTO VYA SOS DUNIANI KOTE.
MAMBO YA KUPULIZA ZUMARI HAYA MDAU NA WEWE UNAWEZA HIVI. IKIWA KATIKA KIONJO CHA NGOMA YA MSEWE HIYO MDAU WANGU.

NASISI TUNAWEZA KUCHEZA NGOMA HII NDIVYO WANOVYOONEKANA KUSEMA WATOTO HAWA WA SOS ZANZIBAR
WATOTO WA KIJIJI CHA SOS WAKICHEZA NGOMA YA MSEWE

MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA KIJIJI CHA SOS ZANZIBAR MOHAMMED BALOO AKISOMA RISALA KATIKA SHEREHE ZA KUTIMIA MIAKA 18 YA SOS ZANZIBAR ZILIZOFANYIKA KIJIJI HAPO MOMBASA

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME AKIMKABIDHI CHETI CHA UTUMISHI WA MUDA MREFU MMOJA WA MAMA WA KIJIJI CHA SOS KWA KUFANYAKAZI KWA MUDA WA MIAKA 15 KATIKA KULEA WATOTO WA KIJIJI HICHO MAYASA MOHAMMED AKIWA NA FURAHA KWA KUPATA CHETI HICHO KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 18 KWA KUANZISHWA KWA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA SOS ZANZIBAR NA MIAKA 60 YA KUANZISHWA KWAKE SOS

MKE WA RAIS WA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA ZAYEDESA MAMA SHADYA KARUME AKIMLISHA KEKI MMOJA WA WATOTO WA KIJIJI CHA WATOTO WA SOS MBWANA AME KATIKA SHEREHE YA KUTIMIA MIAKA 60 YA SOS NA MIAKA 18 YA KUANZISHWA SOS ZANZIBAR HUADHIMISHWA KILA IFIKAPO TAREHE 23-6-2009. KUSHOTO MKURUGENZI WA KIJIJI HICHO SULEIMAN MAHMUOD JABIR. AKINA NA NASSRA ABDALLA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.