WADAU wa habari tunategemea baada ya muda mfupi tutapata matokeo ya Majimbo mawili ya Unguja.
Majimbo ambayo yatatolewa matokeo yake ni ya Donge na Uzini. na kufika majimbo yaliyokuwa tayari kupatikana matokeo yake kufikia kumi na saba (17) katika matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Zanzibar
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
17 hours ago
0 Comments