Habari za Punde

KUAPISHWA RAIS WA ZANZIBAR LEO UWANJA WA AMAAN

 WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi wakimshangilia Rais Mstaaf Dk. Salimin Amuo alipowasili uwanja wa Amaan
 WANANCHI wakishuhudia sherehe za kuapishwa Rais wa Zanzibar Uwanja wa Amaan
 WANACHAMA wa Chama cha CUF wakiwa katika moja ya Jukwaa UWANJA WA Amaan wakishuhudua akiapishwa Rais wa awamu ya Saba Dk. Ali MOHAMMED Shein


 WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi wakishuhudia kuapishwa Rais wa Zanzibar Uwanja wa Amaan.
 VIONGOZI wa Dini wakielekea katika jukwaa la kumuapisha Rais wa Zanzibar.

 MABALOZI  wakishuhudia sherehe za kuapishwa RAIS WA awamu ya saba Zanzibar
 VIONGOZI wa Chama na Serikali wakiwa jukwaa kuu kutoka kushoto Ali Juma Shamhuna, Mama Siti Mwinyi, Dk. Salimin Amour Juma, Benjamin Mkapa, Mama Shadya Karume na Mama Salma Kikwete.


                                    
VIONGOZI wa Serikali kutoka kulia Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Rais Mstaafu wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi,  Aliyekuwa Waziri Kiongozi Shamsi Vuai Nahodha na Mke wa aliyekuwa Naibu Waziri Kiongozi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.