Habari za Punde

DK SHEIN AZURU KITUO CHA UTAFITI WA KILIMO MJINI ANTALYA - UTURUKI

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwamamwema Sheini Pamoja  na Ujumbe wake wakiangalia Vitalu vya Utafiti katika kituo cha utafiti wa Mazao ya kilimo huko katika Mji wa Antaliya Nchini Uturuki leo,(kulia) ni Mkurugenzi wa Taasisii ya Batem Dr Suat Yilmaz
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Pamoja  na Ujumbe wake wakiangalia sehemu ya utafiti katika kituo cha utafiti wa Mazao ya kilimo Batem, nje ya Mji wa Antaliya, Nchini Uturuki leo,(kushoto) ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Batem Dr Suat Yilmaz
Miti aina ya michungwa iliyokuwa katika majaribio katika kituo cha kilimo cha Batem, kilicho chini ya Wizara ya kilimo ya Uturuki.


Picha na Ramadhan Othman, Uturuki

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.