SOKO la Chakechake Pemba hutowa huduma mbili kwawakati mmoja. Hutumika kwa gari za abiria na minada ya bidhaa mbalimbali zinazoletwasokoni hapo wakati wa asubuhi na kuleta usumbufu kwa watumiaji wa soko hilo,wapofata mahitaji yao
NIT YASHEREHEKEA MIAKA 50 KWA UZINDUZI WA KITUO KIKUBWA CHA UMAHIRI
-
CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimeadhimisha miaka 50 tangu
kuanzishwa kwake kwa kuzindua Kituo Kikubwa cha Umahiri cha Usafiri wa Anga
na Operesh...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment