Habari za Punde

MAZIKO YA MAALIM MUSSA KHAMIS SILIMA

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein aksalimiana na wanafamilia wa marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri mkoa Kusini Unguja,marehemu alikuwa mwakili wa jimbo la Uzini na mbunge wa kuteuliwa na baraza lla Wawakilishi Zanzibar
. Mamia ya wananchi na waumini wa dini ya kiislamu wakiubeba mwili wa marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri Mkoa Kusini Unguja,marehemu alikuwa mwakilishi wa jimbo la Uzini na Mbunge wa kuteuliwa na Baraza la Wawakilishi Zanzibar
 Waziri wa nchi ofisi ya makamo wa Pili wa Rais,Mohamed Aboud akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Serikali ya mapinduzi,baada ya mazishi ya marehemu Mussa khamis Silima,aliyezikwa kjijini kwao Kiboje Mwembe shauri Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja leo
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, (kutoka wanne kushoto) Makamo wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohamed Gharib Bilali, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Mustafa Ibrahim na Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif, walijumuika na waislamu wengine kwa kuusalia mwili wa marehemu Maalim Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri Mkoa  wa Kusini Unguja.Marehemu alikuwa mwakilishi wa jimbo la Uzini na Mbunge wa Kuteuliwa na baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa leo kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri mkoa Kusini Unguja. Marehemu alikuwa mwakilishi wa jimbo la Uzini na Mbunge wa kuteuliwa na baraza lla Wawakilishi Zanzibar

Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.