Habari za Punde

ZOEZI LA UCHUMAJI KARAFUU LIKIENDELEA PEMBA.




MKULIMA wa Zao la karafuu katika Kijiji cha Pandani akianika karafuu zake ili kupata daraja la kwanza kutoka na bei yake kuwa juu.

1 comment:

  1. Hongera babu!"kijua ndio hichi,usipo uanika utaula mbichi"Kwa kweli wapemba wenye karafuu tukishindwa kumaliza 'vibanda' vyetu mwaka huu! na tukaendekeza kuongeza wake basi,basi tusijetukalaumu mtu ila nafsi zetu!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.