ABIRIA wakipanda Boti Mpya ya Kampuni ya SeaGull, bandari ya Forodhali leo mchana.
Boti Mpya ya Kampuni ya Sea Gull ikifunga gati kwa ajili ya Uzinduzi wa safari yake ya Dar-es-Salaam, leo saa 8.00, mchana, uzinduzi huo umefanyika katika bandari ya Forodhani kwa safari.
No comments:
Post a Comment