Mhariri Mkuu ZBC(Televisheni) Juma Mohammed kulia akiwa na Meneja wa vipindi, Haji Dadi Shajack katika mitaa ya Changsha Jimbo la Hunan,China
.
Mhariri Mkuu wa ZBC(Televisheni) Juma Mohammed kushoto akiwa na Afisa Habari Mwandamizi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Matthew Kwembe wakikatisha mitaa ya Shangai China jana
No comments:
Post a Comment