Habari za Punde

KUNA BAADHI YA WANANCHI HUFANYA VITENDO VYA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KWA MAKUSUDI NA KUIPA LAWAMA MANISPA.

 Anatupa taka nje ya chombo kiliowekwa na Taasisi husika kutilia taka katika maeneo ya Michezani jumba na mbili.
 
Akitupa taka bila ya kujali uchafuzi wa mazingira.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.