Habari za Punde

Benki ya Posta Yaipiga Jeki Kamati ya Kombe la Mapinduzi Yaipa Milioni mbili


Benki ya Posta tawi la Zanzibar jana imeipiga Jeki Kamati ya Kombe la Mapinduzi kwa kuipatia Sh Milioni Mbili. Sherehe hiyo ilifanyika kwenye kilele cha Sherehe za Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Meneja wa Benki ya Posta, Tawi la Zanzibar, Omar Abdalla Kilimo (kushoto) akikabidhi Hundi kwa Mjumbe wa kamati ya Mashindano Nassor Salim Ali ( Aljazira) ambaye pia ni Mwakilishi wa jimbo la Rahaleo.

Picha na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.