Habari za Punde

CUF Yawavua Uwanachama Wane Katika Mkutano wa Baraza Kuu la CUF Unaoendelea Hoteli ya Mazsons Shangani Unguja.

 Mhe Hamad Rashid,Mbunge wa Jimbo la Wawi akizungumza na Waandishi wa Habari nje ya Ukumbi wa Mkutano baada ya kufukuzwa Unanachama wa CUF,na Mkutano wa Baraza Kuu la CUF, unaofanyika katika Hoteli ya Mazsons Shangani Unguja.   
 Mwenyekiti wa Serekali za Mitaa Mkunduge Tandale Dar-es-Salaam Tamim Omar Tamim, akizungumza na Waandishi wa habari, wakati akisubiri kuitwa katika Baraza Kuu kujieleza.  
 Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF, Shoka Khamis Juma, ambaye ni mmoja wa Mwanachama aliyefukuzwa katika Mkutano wa Baraza Kuu la CUF, akizungumza na waandishi  baada ya kutoka katika kikao kumaliza kujieleza.  
 Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara Julius Mtatiro,akitowa taarifa ya Kikao cha Baraza Kuu hatuwa zilizochukuliwa kuwafukuza unanachama wanachama wake wanne, Hamadi Rashid, Juma Said Sanani, Doyo Hassan Doyo,Shoka Khamis na Yasin Mrotwa kupewa karipio kali.

Waandishi wa habari wakiwa katika viwanja vya Hoteli ya Mazsons Shangali wakisubiri yaliojiri ndani ya Kikao cha Baraza Kuu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.