Mfanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar, akitowa maelekezo kwa dereva wa gari hii baada ya kulitia mnyororo, kwa sababu ya kuegeshwa eneo ambalo haliruhusiwi kuegeshwa magari, inasababisha msongamano wa magari.
Wachuuzi katika soko la Darajani wakishusha samaki aina ya Nduwaro, ili kupigwa mnada katika soko hilo, samaki wa aina hii wanavuliwa sana katika bahari za Zanzibar.
No comments:
Post a Comment