Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Balozi wa Marekani Nchni Tanzania Alfonso Lenhardt,(wa pili kulia) na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,(kulia) na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Amali Zahra Hamadi,(kushoto) alipofika katika Skuli ya Mwanakwerekwe C,kuzindua Mradi wa Elimu wa Karne ya 21,unaohusiana na Elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Skuli za Msingi hapa Zanzibar, unaofadhiliwa na Shrika la Misaada la Marekani USAID.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(katikati) na Balozi wa Marekani Nchni Tanzania Alfonso Lenhardt,(katikati) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi
wa Elimu wa Karne ya 21,unaohusiana na Elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Skuli za Msingi hapa Zanzibar,unaofadhiliwa na Shrika la Misaada la Marekani USAID,(kulia) ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,(katikati) Balozi wa Marekani Nchni Tanzania Alfonso Lenhardt,(aliyechutama) wakiwaangaliwa wanafunzi wakifanya mazoezi ya masomo,wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Elimu wa Karne ya 21,unaohusiana na Elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Skuli za Msingi hapa Zanzibar,unaofadhiliwa na Shrika la Misaada la Marekani USAID,uzinduzi huo ulifanyika janakatika Skuli ya Mwanakwerekwe C.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na Balozi wa Marekani Nchni Tanzania Alfonso Lenhardt,wakinyanyua kompyuta iliyotolewa zawadi na Balozi wa Marekani,wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Elimu wa Karne ya 21,unaohusiana na Elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Skuli za Msingi hapa Zanzibar,unaofadhiliwa na Shrika la Misaada la Marekani USAID,uzinduzi huo ulifanyika jana katika Skuli ya Mwanakwerekwe C.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment