Habari za Punde

Hata na Sisi Tunaweza Kazi hii...


Kijana Kombo Issa akiwa katika biashara yake ya mikate ya ufuta katika mtaa wa Majestik Zenj. amesema hata na sisi vijana tunao uwezo wa kufanya biashara za aina hii, sio tuwaachie Wanaweke na sisi tunayo nafasi ya kufanya biashara za aina mbalimbali na hakuna biashara za jinsia moja kila mtu anao uwezo. ndio maana mimi niko hapa nafanya biashara hii na kujiengezea kipato. 

kupitia biashara hii pia nachukuwa oda za maharusi na kuwatengenezea mikate ya ufuta, kutokana na ubora wa mikate yangu nina wateja wengi hufuata hapa. 

Kwa yoyote yele mwenye kutaka huduma yangu anaweza kunipata kwa simu no 0773-209294.  

2 comments:

  1. HONGERA SANA KAKA.KAZI NDIO MSINGI WA MAISHA.

    ReplyDelete
  2. Mmi pia nimekukubal mkuu, kwa kupika.sikuwezi kabisa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.