Taarifa ya kifo cha Mpiga Picha wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Hamad Hijja Hamad.
Marehemu Hamad Hijja Hamad.
Taarifa tulioipata muda huu Mwandishi wa Idara Habari Maelezo Zanzibar Hamad Hijja, amefari dunia katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, alipelekwa saa 12 asubuhi, akisumbuliwa na maradhi ya moyo, hatimai kifo kimemkutakatika majira ya saa 2 asubuhi hii. katika hospital hiyo.
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu maziko yatafanyika nyumbani kwake Mwanakwerekwe saa 7 mchana na kuzikwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe.
Mungu Amlaze Mahali pema peponi amani
No comments:
Post a Comment