Habari za Punde

Uwekaji wa Matuta Barabarani kuepusha ajili kwa Watembea kwa Miguu.

Mafundi wa Idara ya Ujenzi na Utuzaji wa Barabara Zanzibar wakiweka matuta katika moja ya  barabara ya Mwera Dunga ili kupunguza ajili kwa Wanafunzu wa Skuli ya Dunga wanapokatisha barabara wakati wa kutoka skuli na kuweza madereva kupunguza mwendo wakifika katika eneo hilo ambalo husababisha ajali kwa wanafunzi wanapokatisha barabara.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.