Mkurugenzi wa Tanzania Media FundErnest Sungura. akiwa na Ujumbe wake wakitembelea Jengo la Sauti ya ZBC Redio Rahaleo kushuto ni Mhariri wa Habari wa Zanzibar Leo Ramadhani Makame.akiwaogoza katika majengo ya Ofisi ya Shirika la Magazeti ya Serekali Zanzibar Zanzibar Leo.
Waofisa wa Tanzania Media Fund wakiwa katika majengo ya Ofisi za Zanzibar Leo, walipofika kutembelea na kuona shughuli za utendaji wa Gazeti la Zanzibar Leo Rahaleo.
Mkuu wa Chumba cha Utayarishaji Gazeti la Zanzibar Leo Rabia Bakari akitowa maelezo ya utayarishaji wa Gazeti la Zanzibar Leo, kwa Mkurugenzi wa Tanzania Media Fund Ernest Sungura kulia. walipofika kutembelea Ofisi za Zanzibar Leo Rahaleo.
Ujumbe wa Tanzania Media Fund wakiwa katika Ofisi za Gazeti la Zanzibar Leo Rahaleo, wakiangalia utayarishaji wa Gazeti hilo katika Chumba cha Kumputa.
Ofisa wa Tanzania Media Fund, akiangalia utayarishaji wa Gazeti la Zanzibar Leo, wakati wa Ziara yao katika Ofisi za Zanzibar Leo Rahaleo.
Mhariri wa Chumba cha habari Ramadhani Makame akitowa maelezo kwa Maofisa wa Tanzania Media Fund , walipofanya ziara kuangalia utayarishaji wa Gazeti la Zanzibarb Leo.
No comments:
Post a Comment